GET /api/v0.1/hansard/entries/1276656/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1276656,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1276656/?format=api",
"text_counter": 267,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "wananyonya sana hali inayofanya tumbo ifure. Kila wanapoingiza chakula kwenye tumbo, minyoo wanang’ang’ania hiyo chakula; na ndiposa, unapata mtoto akiwa na afya mbaya, nywele nyekundu na kila unapoangalia sura yake, achekwa na wenzake mpaka wanapata ile"
}