GET /api/v0.1/hansard/entries/1277193/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1277193,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1277193/?format=api",
"text_counter": 138,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Asante Bw. Spika. Swali langu linaenda kwa Mawaziri wote wawili. Ilianza kwanza na M-pesa, watu wakawa wanaingia wanawaibia wananchi pesa. Kuna moja alijilipa pesa kama Mbunge na ilikua kumbe ni stori kama ya Alfu Lela Ulela . Mwisho mmenyamaza mpaka imefika kuwa Taifa la Kenya tunapoteza takwimu zetu, tunapata watu wameingia kwenye system na Kenya inakua kabisa iko blackout . Waziri wa Usalama amesema vile alivyo fanya usalama katika mambo ya maandamano akafaulu. Katika"
}