GET /api/v0.1/hansard/entries/1277912/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1277912,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1277912/?format=api",
"text_counter": 277,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": ". Zote zibaki vile vile, lakini ziongezwe halafu kuwe na usimamizi mzuri. Ningependa kuzungumzia Uwezo Fund . Mimi na Mhe. Kaluma tumetoka mbali kwa pamoja. Nimekuwa katika Bunge hili mwaka 2013, 2017 na sasa 2022 - vipindi vitatu. Ninakumbuka katika mwaka wa 2017…"
}