GET /api/v0.1/hansard/entries/1278347/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1278347,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1278347/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Ahsante, Mhe. Spika. Kama tunavyojua, dunia inabadilika na shetani ako juu zaidi. TikTok inatusaidia kuonyesha maendeleo yetu. Mimi nimekuwa nikionyesha mabarabara na maendeleo mengine lakini haijatrend kama siku nilipoimba tu Ngamia Wangu . Mambo ambayo si muhimu inatrend na kutuuza zaidi. Kwa hivyo TikTok isiende pahali. Kwa ajili ya uzuri wake, iwe papa hapa."
}