GET /api/v0.1/hansard/entries/1283965/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1283965,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1283965/?format=api",
"text_counter": 367,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "kukimbia, ni kama umemuona nyoka. Ndio hayo ninayoona katika Jumba la Seneti. Ukimuona nyoka, toroka. Yale ambayo tumependekeza kama Kamati ya Mamlaka na Heshima ya Bunge ni kali, lakini unapoyavulia, lazima uyaoge."
}