GET /api/v0.1/hansard/entries/1291511/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1291511,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1291511/?format=api",
"text_counter": 154,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, ninaunga huu Mswada mkono kwa zile pesa inapeana, lakini, kuna shida kwa mgao wa madini. Kaunti ya Embu imepewa Kshs2,142. Saa zingine, mimi hushindwa na ile mambo inafanywa na watu!"
}