GET /api/v0.1/hansard/entries/13223/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 13223,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/13223/?format=api",
"text_counter": 275,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kutuny",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": "Lakini vile vile, ngoja ngoja huumiza matumbo. Ningependa umshurutishe Waziri – na siyo kuomba wakati huu – awasilishe Taarifa hiyo. Mikahawa ilivamia tarehe 23/2/2011. Mkahawa mwingine ulivamiwa tarehe 2/1/2011. Tena, tarehe 10/4/2011 mkahawa mwingine ulivamiwa. Juzi, mkulima maarufu aliuwawa na majambazi. Sasa, tunataka Taarifa hiyo."
}