GET /api/v0.1/hansard/entries/1340710/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1340710,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1340710/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
    "speaker": null,
    "content": "kwamba sehemu za Busia na Mombasa ziko kwenye nambari ya kwanza na pili katika takwimu kuhusu mambo ya utumiaji wa pombe haramu na dawa za kulevya."
}