GET /api/v0.1/hansard/entries/1342375/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1342375,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1342375/?format=api",
"text_counter": 274,
"type": "speech",
"speaker_name": "Magarini, ODM",
"speaker_title": "Hon. Harrison Kombe",
"speaker": null,
"content": "Vile vile, Halmashauri ya Barabara Kuu inafaa kutekeleza mpango wake: barabara kutoka Marikebuni kuingia Ngarashi mpaka Baricho iweze kuinuliwa hadhi yake na kupata lami. Ni mipango ambayo yapo, lakini ikiwezekana, tungeomba fedha zile za mwaka 2023/2024 ziachiliwe mara moja ili kazi hizi ziendelee. Hayo yakifanyika, ninatumai kwamba kila mmoja atafurahia kazi njema inayoendelea."
}