GET /api/v0.1/hansard/entries/1349760/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1349760,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1349760/?format=api",
"text_counter": 104,
"type": "speech",
"speaker_name": "Baringo County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Jematiah Sergon",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika, kwa nafasi hii uliyonipa. Mwanzo, nakupa kongole kwa kuchaguliwa kama Mwenyekiti wa Maspika katika Jumuiya. Kwa kweli, waliokuwa wakifanya uchaguzi walielewa weledi wako katika uongozi."
}