GET /api/v0.1/hansard/entries/1353607/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1353607,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1353607/?format=api",
"text_counter": 473,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kwale County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Fatuma Masito",
"speaker": null,
"content": "Naomba kuunga mkono Hoja hii. Tuwape kipaumbele na thamani wavuvi wetu wanaoishi maisha ya uchochole na umaskini na maisha duni. Wana mapato ya leo tu. Asante, Mhe. Spika wa Muda."
}