GET /api/v0.1/hansard/entries/1373679/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1373679,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373679/?format=api",
"text_counter": 186,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "ilibandua mambo ya Housing Levy na hizi pesa zinafaa zirejeshwe kwa wananchi mpaka vile mahakama itakapoamua. Naskia wamepeleka hii kesi kwa Mahakama ya Rufaa na tunangojea kusikia itakuwa namna gani."
}