GET /api/v0.1/hansard/entries/1373685/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1373685,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373685/?format=api",
"text_counter": 192,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "wanawashinikiza vipi ndani ya Housing Levy wakati hawako kazini? Wale ambao wanafanya kazi ndio wanakatwa hizi pesa. Je, anaweza kutueleza huyu mama mboga ataingizwa kwenye mpango huu?"
}