GET /api/v0.1/hansard/entries/1378640/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1378640,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1378640/?format=api",
"text_counter": 296,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ganze, PAA",
"speaker_title": "Hon. Kenneth Tungule",
"speaker": null,
"content": "Tumetangulia kwa kusema kwamba ufisadi uko hali ya juu katika idara za Serikali. Hayo ni mambo ambayo hii Ripoti ya Mkaguzi-Mkuu imeangazia. Ni kweli ufisadi uko kila mahali. Kupata huduma kwa kila department ya county government, ni lazima utoe kitu kidogo na mambo kama haya."
}