GET /api/v0.1/hansard/entries/138146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 138146,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/138146/?format=api",
"text_counter": 594,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi Naibu Spika wa Muda, maswala yote tukiyazungumzia; sio Mau peke yake, bali kila mahali, imefika wakati ambapo Waziri anayehusika na maswala ya mazingira, haswa Waziri Michuki--- Najua kwamba kwa vile yeye ni chapa kazi, ataweza kulitenda jambo hili. Ni muhimu apewe pesa za kutosha ili aweze kuhakikisha kuwa mazingira yetu yanazidi kuwa mazuri na yaache kuzoroteka."
}