GET /api/v0.1/hansard/entries/1381922/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1381922,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381922/?format=api",
"text_counter": 92,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kingi",
"speaker_title": "The Speaker",
"speaker": null,
"content": " Asante sana. Seneta wa Meru, utendakazi wa Seneti unafanyika katika Ukumbi huu na pia katika kamati zenu. Hakuna siri ambayo twaweza kuificha maana kazi ile yote ni kazi ya Seneti."
}