GET /api/v0.1/hansard/entries/1404472/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1404472,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404472/?format=api",
"text_counter": 256,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii niweze kuzungumzia swala la Tume ya Ardhi. Hii tume ni kitengo muhimu sana katika taifa letu kwa sababu shida kubwa ni mambo ya ardhi. Na katika dhulma za kihistoria…"
}