GET /api/v0.1/hansard/entries/1404480/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1404480,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404480/?format=api",
"text_counter": 264,
"type": "speech",
"speaker_name": "Malindi, ODM",
"speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
"speaker": null,
"content": "Ardhi nyingi kule Malindi zimezuiliwa na mabwenyenye - watu ambao hatuwatambui na hatujui walipata ardhi Malindi vipi. Mara nyingi, tumeona watu wangu wa Malindi wakivunjiwa manyumba yao na kudhulumiwa kwa njia moja ama nyingine."
}