GET /api/v0.1/hansard/entries/1405039/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1405039,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405039/?format=api",
"text_counter": 415,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Abdul Haji",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": null,
"content": " Maseneta, nadhani Sen. (Dr.) Khalwale alikuwa anajaribu kueleza kuwa aliyekuwa Gavana wa Mombasa alitenga pesa. Hakumaanisha kuwa pesa zilitengwa na aliyekuwa Gavana wa Mombasa. Sen. (Dr.) Khalwale, ni vyema uthibitishe maneno hayo katika kikao kitakachofuata."
}