GET /api/v0.1/hansard/entries/1418908/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1418908,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418908/?format=api",
"text_counter": 215,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mr. Temporary Speaker, Sir, Bw. Waziri alikuwa anaeleza vizuri na akaongelea kuhusu kambi rasmi ya GSU. Pia amenena kuhusu ripoti ya wataalam ambayo inahusika na suala la Sub-County headquarters . Nafikiri hakuyaelezea mawazo yake vizuri maanake haya ni masuala mawili tofauti. Angeeleza ni lini atawatuma wataalam kwenda kuangalia sehemu ambayo Sub-"
}