GET /api/v0.1/hansard/entries/1421376/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1421376,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1421376/?format=api",
"text_counter": 261,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Abdul Haji",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Naibu wa Spika, umesikia mwenzangu akiuliza kama najua Kiswahili. Je, anamaanisha mimi si Mkenya? Bw. Naibu wa Spika, nimemsikia akiongea hapa. Ningependa atufafanulie maana ya wiki mawili."
}