GET /api/v0.1/hansard/entries/1425341/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1425341,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1425341/?format=api",
"text_counter": 278,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada huu kuhusu uhusiano wa Bunge zetu mbili. Naona Naibu wa Kiongozi wa upande wangu ana ghadhabu kidogo. Anataka nichukue dakika chache."
}