GET /api/v0.1/hansard/entries/1426012/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1426012,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1426012/?format=api",
"text_counter": 73,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, namsikiza ndugu yangu Sen. Wafula, lakini anazungumzia masuala ya moto na wazima moto. Kauli iliyoletwa Bungeni na Sen. Ali Roba ni kuhusiana na mafuriko na tabia nchini inavyoadhiri nchi zetu na zile za bonde la ufa."
}