GET /api/v0.1/hansard/entries/144234/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 144234,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144234/?format=api",
"text_counter": 127,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bi Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "alimuuliza Waziri wa Ulinzi:- (a) ikiwa Waziri ana habari kuhusu mlipuko wa bomu tarehe 13/6/09 katika eneo la Nairoborkeu, tarafa ya Loroki, wilaya ya Samburu ambapo mtoto wa miaka 12 aliuawa; na, (b) hatua zinazochukuliwa na Serikali kuzuia milipuko ya mara kwa mara, ikizingatiwa kwamba tangu mwaka wa 1990, mabomu yamekuwa yakilipuka na"
}