GET /api/v0.1/hansard/entries/144246/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 144246,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144246/?format=api",
"text_counter": 139,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kwa wanajeshi hao wanaofanya mazoezi katika ardhi yao? Wananchi wamepoteza ardhi yao na wamepata madhara mbali mbali kutokana na mazoezi yanayofanywa pale. Je, kuna manufaa yoyote wananchi hao watapata?"
}