GET /api/v0.1/hansard/entries/144258/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 144258,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144258/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Musila",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 94,
"legal_name": "David Musila",
"slug": "david-musila"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, nimeeleza kwamba baada ya mazoezi yoyote kufanyika, juhudi kubwa hufanywa kuhakikisha kwamba vifaa vyote vilivyotumika vimeokotwa na kurudishwa mahali pake. Lakini kwa sababu sehemu inayofanyiwa mazoezi ni kubwa sana, kuna uwezekano kwamba kifaa kimoja ama viwili vinaweza kusahaulika. Ndiposa tunasema kwamba"
}