GET /api/v0.1/hansard/entries/144264/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 144264,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144264/?format=api",
"text_counter": 157,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bi. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ningependa kumwomba Waziri Msaidizi asiseme eti ni bomu moja liko huko kwa sababu mabomu mengi yako huko. Nina thibitisho kwamba mabomu yameonekana katika eneo hilo la Nairoborkeu . Je, hii familia iliyoathirika italipwa kwa njia gani? Je, mali iliyoharibika italipwa? Kuna watu wengi ambao wamehama mashamba yao kwa sababu ya mabomu yaliyomo ardhini."
}