GET /api/v0.1/hansard/entries/1443345/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1443345,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443345/?format=api",
"text_counter": 115,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Shakila Abdalla",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 380,
"legal_name": "Shakila Abdalla",
"slug": "shakila-abdalla"
},
"content": "? Kwa sababu wanalinda watu wengine fulani. Mambo kama hayo ya ukosefu wa usawa ndio yanaleta hii shida ya Gen Z kuamka na kuona kwamba ni lazima hii nchi iwe na usalama kwa sababu sote ni Wakenya. Kuhusu ufisadi, utakuta wanaokuwa sacrifice d ni wale small sheep . Anaenda kuishi kwa director na maneja ilhali waziri yuko free . Director na Maneja wanachukuwa"
}