GET /api/v0.1/hansard/entries/1444164/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1444164,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444164/?format=api",
    "text_counter": 275,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Okenyuri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nikiongezea pia, Mswada huu umekuja kwa wakati unaofaa. Serikali ya Kenya Kwanza ikiwa kwenye harakati zao za kampeni kipindi ambacho kimemalizika, tulikuwa tukisema kuwa tunajali maisha ya wale wachochole; wale ambao wako katika vitengo vya chini mno na Mswada huu umegusia kitengo hicho. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}