GET /api/v0.1/hansard/entries/1446018/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446018,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446018/?format=api",
"text_counter": 152,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ya Gavana lazima iwe tofauti na ya Seneta au Mbunge. Hawa wanaweza kuongea mambo mengine general . Gavana ni lazima aeleze wananchi kwa sababu yeye ni Chief Executive Officer (CEO) wa kaunti. Tunaomba sana magavana wapate a new thinking or way ya kufanya kazi kwa sababu ya huu mwamko mpya. Ripoti hii inashinikiza ubadhirifu wa pesa uwe jambo la zamani na tuzitumie pesa zetu vizuri."
}