GET /api/v0.1/hansard/entries/1446089/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1446089,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1446089/?format=api",
"text_counter": 223,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "s. Kamati pia ziliweza kufanya kazi nyingi wakati wa janga la COVID-19 walipokuwa wakifanya mikutano online ili kuhakikisha kwamba kazi ya Bunge inaendelea kufanyika bila shida yoyote. Vile vile, wakati wa COVID-19, tuliweza kufanya mikutano na watu kutoka nchi mbalimbali tukiwa hapa nchini. Hivyo basi, tuliweza kupunguza gharama za usafiri na kufanya mikutano kwa kiasi kikubwa. Maswala ya e-Parliament yatasaidia kupunguza gharama za Bunge itakapoanza kutumika kikamilifu. Bi. Spika wa Muda, kwa hayo mengi, asante kwa kunipa fursa hii ili kuunga mkono ripoti hii."
}