GET /api/v0.1/hansard/entries/1457925/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1457925,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1457925/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Mhe. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "iko Mokowe na haijafika. Watu wenye kisukari wanapata shida. Hakuna insulin . Nataka uniambie siku gani stima itawaka Kiunga. Nakupatia wiki mbili, kama haziwaki nitaenda kulala kwenye hiyo stesheni mpaka siku ile mtawasha stima. Asante."
}