GET /api/v0.1/hansard/entries/1462576/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1462576,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1462576/?format=api",
"text_counter": 145,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ni jambo la kutamausha kwamba unapotembea katika kaunti yako, unakumbana na wananchi ambao walitoa huduma kwa wakati mwafaka lakini lazima watafute yule watakayemwongelesha ili wahusika waweze kulipa madeni hayo."
}