GET /api/v0.1/hansard/entries/1467328/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1467328,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1467328/?format=api",
    "text_counter": 2200,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Hyrene Kawira",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nimesema kwenye hiyo clip alisema nimechangiwa Kshs86 million. Alisema pia kwamba nimefichwa na MCA fulani. Ikasababisha aibu, nikawa laughing stock in the community . Watu wa kijii wakasema nakaa na MCA ilhali sijampumzisha bwanangu. Nilikuwa naomboleza bwanangu ikafanya hadi niondoke kutoka kijiji kuenda kukaa na one of my relatives ."
}