GET /api/v0.1/hansard/entries/1476059/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476059,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476059/?format=api",
    "text_counter": 448,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Tukiangalie zile sheria ambazo serikali kuu ilipitisha kupitia Bunge hili na Bunge la Kitaifa, utapata kwamba zimeongeza gharama katika kaunti zetu. Kwa mfano; sheria ya afya, Social Health Insurance Fund (SHIF) inaongeza gharama kwa serikali za kaunti kwa sababu mfanyakazi analipiwa na vile vile, pia kaunti inachangia katika pesa zile."
}