GET /api/v0.1/hansard/entries/1479890/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1479890,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1479890/?format=api",
"text_counter": 63,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kaloleni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Paul Katana",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika, ndio maana nasema vitengo vya usalama vimelegea. Ni lazima wachunguze kule mihadarati inakotoka kwa sababu hatuna mashamba ya cocaine wala heroin . Wajue ikiwa inakuja kwa njia ya meli ama njia nyingine. Mipaka yetu lazima ilindwe ili tuhakikishe kuwa hakuna mihadarati inayoingia katika taifa letu. Ahsante, Mhe. Spika."
}