GET /api/v0.1/hansard/entries/1488495/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1488495,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1488495/?format=api",
"text_counter": 126,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "aliziwacha hizi asbestos pale Kiunga. Wananchi wamezichukua na kutengeneze maboma. Ni hatari sana. Ninaomba wahusika wahakikishe kwamba hilo jambo limerekebishwa kabla halijaleta madhara. Tumeambiwa kwamba asbestos husababisha cancer . Unatarajia watu wangu wa Kiunga wapate hiyo shida ilihali wenyewe ni maskini wa roho zao?"
}