GET /api/v0.1/hansard/entries/1496976/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1496976,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1496976/?format=api",
    "text_counter": 198,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Matatizo ambayo yako hapa yanamkumba sana mwananchi wa kawaida. Na siku ambayo mbwa anatua katika sehemu nyeti, hiyo ndio siku mtu hujua sio kila tatizo huwa linatatuliwa kwa fimbo au nyundo."
}