GET /api/v0.1/hansard/entries/1498237/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1498237,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498237/?format=api",
    "text_counter": 397,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "inafanywa sawasawa, na inafwata sheria. Lakini, kuna issue ambayo Mheshimiwa mmoja amezungumzia kuhusu by-laws za kaunti. Kila kaunti iko na by-laws ambazo wanafwata. Basi, mwananchi akipata sintofahamu, aweze kwenda kortini kushtaki na apate haki yake. Sijui zitawiana vipi na sheria za national Government ."
}