GET /api/v0.1/hansard/entries/1498611/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1498611,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498611/?format=api",
    "text_counter": 205,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante, Mhe. Spika. Wakati mwingine, mwanafunzi humshinda mwalimu. Waziri, tungependa kujua kwa nini watoto wanalipa pesa ya masomo ya ziada na wakati ambapo watakuwa wamelipa karo, bado wanafukuzwa shule."
}