GET /api/v0.1/hansard/entries/1498613/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498613,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498613/?format=api",
"text_counter": 207,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Walimu pia wanalazimishwa kuhamishwa kuenda katika shule zingine za mbali sana na nyumbani, na inawasumbua sana kwa kuacha familia zao. Inakuwa hawawezi kufocus na ile masomo. Ahsante sana, Waziri."
}