GET /api/v0.1/hansard/entries/1498981/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498981,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498981/?format=api",
"text_counter": 575,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Mhesh. Naibu Spika, tukizungumza kuhusu makadamia, tunafaa kuizungumzia pamoja na nuts zingine, haswa korosho ambayo katika packaging, huchaganywa na macadamia. Nataka pia Waziri anapozungumza, azichanganye vivyo hivyo. Akizungumzia makadamia, azungumzie korosho."
}