GET /api/v0.1/hansard/entries/1501973/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1501973,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1501973/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, aliyekua Seneta na Waziri wa Kilimo, Mhe. Linturi, hakutimuliwa katika Bunge. Mswada wa kumuondoa mamlakani ulishindwa katika Bunge la Taifa. Kwa hivyo, si sawa kwa Mhe. Mundigi kusema kwamba alitimuliwa. Angalia HANSADI."
}