GET /api/v0.1/hansard/entries/1502549/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1502549,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502549/?format=api",
"text_counter": 155,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": " Kwa hivyo, vijana wapelekewe kazi kule waliko ili ziwasaidie. Ama watu watasema kwamba zile kazi zimekuja kwa ubaguzi. Kwa hivyo, kazi zingine kule Ujerumani, Uajemi ama nchi zingine zikija, zote zigawanywe katika maeneo yote, ili kila mmoja aweze kufaulu. Kwa haya mengiā¦"
}