GET /api/v0.1/hansard/entries/1507076/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1507076,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1507076/?format=api",
    "text_counter": 124,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu Spika, Seneta wa Kaunti ya Kirinyaga amenena kuhusu speed ambayo magari ya kusafirisha miraa/muguka yanatumia. Naomba Serikali ijenge airstrip ili wakulima kutoka kaunti za Embu, Tharaka Nithi na Kirinyaga, wapate mahali ambapo patatumika kusafirisha miraa katika kaunti zingine au nchi za ng’ambo."
}