GET /api/v0.1/hansard/entries/1514232/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1514232,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514232/?format=api",
    "text_counter": 615,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wundanyi, WDM",
    "speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
    "speaker": null,
    "content": "1965 ambayo iligawanya Kenya vipande viwili. Kipande kimoja kilikuwa cha manufaa na basi Serikali Kuu ikawekeza kule. Kipande kingine kikawa si cha faida sana ambacho kilibaki nyuma kwa miaka mingi."
}