GET /api/v0.1/hansard/entries/1514233/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1514233,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514233/?format=api",
"text_counter": 616,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": null,
"content": "Kungekuwa mfumo kama NG-CDF ungetumika kugawanya pesa ambazo zinachangia mambo ya barabara, maji na pesa ya elimu, basi Kenya yote ingeendelea kwa usawa. Hatungekuwa na maeneo ambayo yamebaki nyuma. Hii hazina ya NG-CDF inatakikana ichungwe si na Wabunge tu, lakini hata Serikali ya Kitaifa inatakikana ijuwe hii ndio hazina pekee ambayo inafikia mwananchi kule mashinani."
}