GET /api/v0.1/hansard/entries/1514234/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1514234,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1514234/?format=api",
"text_counter": 617,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": null,
"content": "Pesa hizo za NG-CDF leo hii zinasomesha watoto ambao hawangeweza kwenda shule. Kwa sababu ya maamuzi yanayofanyika kule mashinani, yanaweza kufikia wale maskini hohe hahe ambao hawangeweza kufanikiwa na ndoto zao za elimu."
}