GET /api/v0.1/hansard/entries/1545954/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1545954,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545954/?format=api",
"text_counter": 57,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Kwa hivyo, sisi sote tukubali kwamba ufisadi uko katika gatuzi zetu. Ni jambo la kuhuzunisha kwamba huu sio ule ugatuzi tuliolilia na kupitisha mwaka wa 2010; wa kupeleka pesa mashinani. Sisi ambao tunatoka katika eneo zilizo na idadi ndogo ya watu hatukuwa tunapata maendeleo kwa sababu tulikuwa tunaulizwa tunaleta kura ngapi katika meza ili watupatie maendeleo."
}