GET /api/v0.1/hansard/entries/1547573/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1547573,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1547573/?format=api",
"text_counter": 107,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii niweze kuchangia statement ya Sen. Gloria kuhusiana na ndugu zetu ambao wame -coniwa pesa zao wakati wanataka kusafiri kwenda kutafuta ruzuku kule ughaibuni. Nazungumza na masikitiko makubwa."
}